Bilateral Relation Change View → Listing

TANZANIA KUIMARISHA MASHIRIKIANO YA KIMICHEZO NA ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amemtembelea Rais wa Kamati za Olimpic Barani Afrika (ACNOA) Mheshimiwa Moustapha Berraf katika Ofisi yake iliyopo Mjini Algiers. Katika Mazungumzo yao Mheshimiwa…

Read More

MAZUNGUMZO KATI YA MHE.BALOZI MAJ GEN. JACOB G. KINGU NA BALOZI WA CHINA NCHINI ALGERIA

Mnamo tarehe 22 Oktoba , 2020 Mheshimiwa Balozi Maj Gen JACOB G.Kingu amekutana na Mheshimiwa. Li Lianhe Balozi wa China nchini Algeria kwa ya Kubadilishana Uzoefu Juu ya masuala mbalimbali yanayouhusu nchi…

Read More

Balozi wa Ethiopia nchini Algeria, Mhe. Assegid Nebiat Getachew amemtembelea Balozi wa Tanzania

Mnamo tarehe 13 Oktoba, 2020 Balozi wa Ethiopia nchini Algeria, Mheshimiwa Assegid Nebiat Getachew amemtembelea Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mheshimiwa Mej Gen. Jacob G. Kingu katika Ofisi za Ubalozi wa…

Read More

MHE.BALOZI MAJ.GEN JACOB G. KINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA NCHINI ALGERIA.

 Mkutano wa Mheshimiwa Balozi na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara nchini Algeria Elhamel Mernis na Mkurugenzi wa Hoteli ya Hocine. Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Balozi amewaeleza Viongozi hao…

Read More

MHE. BALOZI KATIKA MAKABIDHIANO YA UENYEKITI KWA WA SADC KWA BALOZI WA MSUMBIJI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Balozi wa Msumbiji nchini Algeria Mheshimiwa Carvalho Muaria. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA KAMPUNI YA NISHATI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Kufanya Mazungumzo na Kampuni ya Nishati ya Euroferima yenye Makao Makuu yake Mkaoni Blida nchini Algeria. katika Mazungumzo hayo, Mheshimiwa Balozi…

Read More

MAZUNGUMZO YA MHESHIMIWA BALOZI NA MKURUGENZI MKUU WA KIWANDA CHA AURES SOLAIRE

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Bwana Noucer, Mwekezaji katika Sekta ya Nishati na Mmiliki wa Kiwanda cha Aures Solaire kinachoshughulika na Uzalishaji wa Vigae vya Umeme (Solar Panel).…

Read More

KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI ULIO ANDALIWA NA UBALOZI MJINI ALGIERS

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria kwa Kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika (CAAID) ulindaa Kongamano la Wawekezaji na Wafanyabiashara Waalgeria. Kongamano hilo…

Read More