News and Events Change View → Listing

Job vacancy

L'AMBASSADE DE LA REPUBLIQUE UNIE DE TANZANIE EN ALGERIE OFFRES D'EMPLOIS POUR UNE POSTE CONTRACTUEL:SURVEILLANTE DE BUREAU (1 poste)LES QUALIFICATIONS :-Age: de 25 ansAvoir une expérience de 5…

Read More

Mheshimiwa Balozi atembelea Groupe la Belle.

Mheshimiwa Balozi akiwa katika picha ya pamoja na CEO wa Groupe la Belle katika makao makuu ya La belle.Tarehe 09 Juni 2022.La belle ni wawekezaji katika sekta uchakataji wa Bidhaa za kilimo ( nafaka, matunda…

Read More

Mheshimiwa Balozi atembelea Hospitali ya Chahid Mahmoudi

Mheshimiwa Balozi akitembelea Hospitali ya Chahid Mahmoudi katika mkoa wa Tiziouzou. Tarehe 14 Juni, 2022.

Read More

Maonesho ya Mitambo ya kutunza mazingira

Mheshimiwa Balozi alipotembelea Kampuni ya Amenhyd inayoshughulika na utengenezaji wa Mitambo ya Kusafisha Maji Taka katika Maonesho ya Utunzaji wa Mazingira mjini Algiers. Tarehe 20 Juni, 2022

Read More

Maonesho ya Sabasaba   2022

Picha ya pamoja ya Mheshimiwa Balozi akiwa na  Mheshimiwa Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Dr. ASHATU KIJAJI   pamoja na Delegation ya Wafanyabiashara  kutoka Algeria katika viwanja vya…

Read More

MAZUNGUMZO YA MHESHIMIWA BALOZI NA KAMPUNI YA KUSAFIRISHA WATALII YA GOLDEN MOMENT

Mnamo tarehe 08 Februari, 2022, Mheshimiwa  Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya “Golden Moment” ya Algeria ambayo inafanya Kazi Kusafirisha Watalii kutembelea…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SAIDAL KIWANDA CHA UZALISHAJI WA CHANJO YA UVIKO - 19 NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa  SAIDAL, Bibi Fatoum Akacem. SAIDAL ni Kiwanda cha Serikali cha Uzalishaji wa Dawa za Binadamu pamoja na Chanjo ya…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MJINI ALGIERS

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alishiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji Algiers lililoandaliwa na Kituo cha Maendeleo ya Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika.Kongamano hilo lilijumuisha Wadau Masuala…

Read More