Mhe. Balozi Mej. Jen. (Mst), Jacob Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Ghana nchini Algeria, Mhe. Yaw Sidney Bimpong Ubalozini, Jijini Algiers. tarehe 18 April, 2022.

Sambamba na hilo, Viongozi hao walizungumzia Uhusiano mwema uliopo kati ya Nchi hizi mbili pamoja na Masuala Kadhaa ya Ushirikiano wa Nchi mbili likewemo Suala zima la Diplomasia ya Uchumi.