Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwa katika mazungumzo mafupi na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Algeria, Mhe. Vincent Karega, wakati alipomtembelea kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Algiers mnamo tarehe 18 Juni, 2026, kwa ajili ya kutambulishana na kuzungumzia ushirikiano baina ya nchi hizi mbili chini ya mwongozo wa Jumuiya Afrika Afrika (EAC).
