Mnamo tarehe 13 Oktoba, 2020 Balozi wa Ethiopia nchini Algeria, Mheshimiwa Assegid Nebiat Getachew amemtembelea Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mheshimiwa Mej Gen. Jacob G. Kingu katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania na hatimaye kuwa na Mazungumzo Mafupi ya Kubadilishana Uzoefu juu ya Masuala mbalimbali yenye maslahi kwa nchi mbili .