Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwasilisha nakala za hati za utambulisho  kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf jijini Algiers, leo tarihe  26 Mei, 2026

 

 

Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akiwa katika mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf, mara baada  ya kuwasilisha nakala za hati za utambulisho jijini Algiers leo tarehe 26 Mei, 2026. Mazungumzo hayo yalihusu uimarishaji wa ushirikiano  na uhusiano baina ya nchi hizi mbili.