Picha ya pamoja ya Mheshimiwa Balozi akiwa na  Mheshimiwa Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Dr. ASHATU KIJAJI   pamoja na Delegation ya Wafanyabiashara  kutoka Algeria katika viwanja vya Maonesho ya Saba saba. The 2 Julai 2022. Dar es salam Tanzania.