Mnamo tarehe 22 Oktoba , 2020 Mheshimiwa Balozi Maj Gen JACOB G.Kingu amekutana na Mheshimiwa. Li Lianhe Balozi wa China nchini Algeria kwa ya Kubadilishana Uzoefu Juu ya masuala mbalimbali yanayouhusu nchi zao katika eneo la Uwakilishi.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox