Mhe Balozi Mej. Jen (Mst) Jacob Kingu akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Balozi Assegid wa Ethiopia nchini Algeria alipomtembelea na kufanya Mazungumzo ya Mashirikiano katika Ofisi za Ubalozi wao jijini Algiers tarehe 24 Januari, 2023.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox