Mhe. Balozi Njalikai akutana na Mhe. Balozi Ndumiso NTSHINGA Balozi wa Afrika Kusini nchini Algeria kwa ajili ya kusalimiana (courtesy call) na kujadili masuala ya ushirikiano wa uwili, kikanda na kimataifa yenye maslahi kwa pande mbili.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox