Mhe. Balozi na Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka TMDA walitembelea Maabara ya Sophal ya Kuzalisha dawa za Magonjwa mbali mbali iliyopo Mkoani Oran.

tarehe 23 Oktoba, 2022.