News and Events Change View → Listing

MABALOZI NA WAWAKILISHI WA JUMUIYA ZA KIMATAIFA WATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Omar Yussuf Mzee akiambatana na Mabalozi wa Nchi mbali mbali na Jumuiya za Kimataifa waliopo nchini Algeria wametembelea Kambi za Wakambizi wa Sahara Magharibi zilizopo Mkoani Tindouf nchini…

Read More

MABALOZI ZA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA SADC WAPINGA VIKALI VIKWAZO VYA KIUCHUMI DHIDI YA ZIMBAMBWE.

Katika Kusimamia Maalekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya SADC Mheshimiwa Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria na…

Read More

MHE. BALOZI OMAR YUSSUF MZEE AFANYA ZIARA KATIKA KIWANDA CHA AURES SOLAIRE NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi ametembelea Kiwanda cha Kuzalisha Solar Panel cha Aures Solaire na Kuendeleza Mazungumzo na Kampuni hiyo kuhusu umhimu wa kufanya Ziara ya Kikazi nchini Tanzania Kutangaza bidhaa…

Read More

MAZUNGUMZO YA MHESHIMIWA BALOZI NA MKURUGENZI MKUU WA KIWANDA CHA AURES SOLAIRE

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Bwana Noucer, Mwekezaji katika Sekta ya Nishati na Mmiliki wa Kiwanda cha Aures Solaire kinachoshughulika na Uzalishaji wa Vigae vya Umeme (Solar Panel).…

Read More

KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI ULIO ANDALIWA NA UBALOZI MJINI ALGIERS

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria kwa Kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika (CAAID) ulindaa Kongamano la Wawekezaji na Wafanyabiashara Waalgeria. Kongamano hilo…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019.For those who wish to travel to…

Read More

NOTICE TO TRAVELERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1 June 2019 all plastic bags, regardless of their thickness will be prohibited from being imported,…

Read More

MHE.BALOZI OMAR YUSSUF MZEE KATIKA KIWANDA CHA KUZALISHA NGUZO ZA UMEME TAREHE 4.04.2019

Baada ya Mheshimiwa Balozi  Kufanya Mazungumzo na Bwana Reda Abeid, Mwekezaji kwenye Sekta ya Umeme, Mheshimiwa Balozi alitembelea Kiwanda cha METGAVE katika Mkoa wa Tlemcen. Kiwanda hicho cha Kisasa…

Read More