News and Events Change View → Listing

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA WANADIASPORA WAISHIO NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Wanadiaspora wanaoishi nchini Algeria. Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Balozi amewaeleza Wanadiaspora namna Tanzani invyopiga hatua Kimaendeleo, huduma za…

Read More

MHE. BALOZI MAJ. GEN. JACOB G. KINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA WAMILIKI HOTELI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi ameendeleza Mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Taifa la Wamiliki wa Hoteli nchini Algeria Bwana Ahmed Ouldbachir. Viongozi hao wamezungumzia namna ya bora ya Kuimarisha Mashirikiano ya…

Read More

KUWASILI KWA MHESHIMIWA BALOZI MAJ GEN. JACOB KINGU NCHINI ALGERIA

Mnamo Tarehe 09 Agosti 2020, Mheshimiwa Balozi na Familia yake waliwasili Kituoni Nchini Algeria kwa ajili ya Kuanza Majukumu yake ya Ubalozi. Mheshimiwa Balozi alipokelewa na Mabalozi wa Wakilishi wa…

Read More

MASHIRIKIANO YA KIUCHUMI KUPEWA KIPAO MBELE KATIKA KUIMARISHA MAHUSIANO KATI YA TANZANIA NA ALGERIA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria umeipa Kipaumbele Diplomasia ya Kiuchumi. Mheshimiwa Balozi ameendeleza Mazungumzo na Meneja Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika Bwana…

Read More

MH. BALOZI MAJ GEN. JACOB AENDELEA KUBORESHA MASHIRIKIANO YA KITALII NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii ya Alltour Bwana Salim Belhaine. Kampuni ya Alltour ni Miongoni mwa Makampuni ya Kialgeria ambayo tayari…

Read More

TANZANIA KUONGEZEWA NAFASI ZA MASOMO NCHINI ALGERIA

Katika kuhakikisha kuwa Watanzania wanapata fursa za Mafunzo ya Elimu ya Juu nchini Algeria katika Fani za Kimkakati, Mheshimiwa Balozi amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Afrika Wizara ya mambo ya nje,…

Read More

MKUTANO WA MHE.BALOZI NA RAIS WA SHIRIKISHO LA TAIFA LA WAMILIKI HOTEL NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Taifa la Wamiliki wa Hoteli nchini Algeria Bwana Ahmad OuldBachir. Mheshimiwa Balozi amemueleza Rais wa Shirikisho juu ya umuhimu wa…

Read More

TANZANIA INVESTORS April 2020

Tanzania Investors Center (TIC) is the premier investment promotion agency in Tanzania and the Information in this magazine in PDF once again showcases Tanzania as the Prime Investment Destination of choice in…

Read More