News and Events Change View → Listing

Kikao cha Mhe Balozi na wanafunzi wa Tanzania wasomao mkoa wa Tlemcen Algeria

Mhe Balozi Maj Gen Kingu akiwa katika kikao na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika vyuo vikuu vilivyoko Mkoa wa Tlemcen, tarehe 10.10.2020.

Read More

Kikao cha Mhe Balozi na wanafunzi wa Tanzania mkoa wa Boumedes Algeria

Mhe Balozi Gen Kingu akiwa katika Kikao na Picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vilivyoko Mkoa wa Boumedes, tarehe 08.10.2020

Read More

MHE. BALOZI KATIKA MAKABIDHIANO YA UENYEKITI KWA WA SADC KWA BALOZI WA MSUMBIJI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Balozi wa Msumbiji nchini Algeria Mheshimiwa Carvalho Muaria. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKITOA SALAMU ZA POLE KWA BALOZI WA KUWAIT NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu akitoa Salamu za pole kwa Balozi wa Kuwait nchini Algeria Mheshimiwa Saoud El Faycal Kufuatia Kifo cha Amiri wa Kuwait Marehemu Sabah Al-Ahmad Al-Jabir Al-Sabah…

Read More

MHE. BALOZI AKUTANA NA KATIBU WA SHIRIKISHO LA TAIFA LA WAMILIKI HOTELI MKOANI CONSTANTINE ALGERIA

Katika ziara yake Mheshimiwa Balozi Mej. Gen Jacob Gideon Kingu, Mkoani Constantine amekutana na Katibu wa Shirikisho la Taifa la Wamiliki wa Hoteli Bwana Abdelouhab Boulfekhad ambae pia ni Mmiliki wa…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA KAMPUNI YA NISHATI NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Kufanya Mazungumzo na Kampuni ya Nishati ya Euroferima yenye Makao Makuu yake Mkaoni Blida nchini Algeria. katika Mazungumzo hayo, Mheshimiwa Balozi…

Read More

Uwasilishwaji wa Hati ya Utambulisho

Balozi wa Tanzania Nchini Algeria, Mhe. Maj. Gen. Jacob Gideon akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe.  Abdelmadjid Tebboune. Sherehe hizo zilifanyika…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA WANADIASPORA WAISHIO NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi amekutana na Kufanya Mazungumzo na Wanadiaspora wanaoishi nchini Algeria. Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Balozi amewaeleza Wanadiaspora namna Tanzani invyopiga hatua Kimaendeleo, huduma za…

Read More