News and Events Change View → Listing

KIKAO CHA MHE. BALOZI NA WAZIRI WA BIASHARA WA ALGERIA KATIKA KUIMARISHA MASHIRIKIANO YA KIUCHUMI

Katika Kuendeleza na Kukuza Mashirikiano ya Kiuchumi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa  Algeria, Mheshimiwa Balozi Mag Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Kufanya Mazungumzo na  Waziri wa…

Read More

KIKAO CHA MHE. BALOZI NA WANAFUNZI WA MKOA WA CONSTANTINE NCHINI ALGERIA

Pamoja na Juhudi za Kuimarisha Mashirikiano ya Kidiplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria umelipa Kipaumbele Suala la Kuhamisha Maarifa na Teknolojia kwenda Tanzania.…

Read More

Kikao cha Mhe Balozi na wanafunzi wa Tanzania mkoa wa Annaba,  Algeria

Mhe Balozi Gen Kingu akiwa katika Kikao na Picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vilivyoko Mkoa wa Annaba, Algeria mnamo tarehe 27.09.2020.

Read More

MAZUNGUMZO KATI YA MHE.BALOZI MAJ GEN. JACOB G. KINGU NA BALOZI WA CHINA NCHINI ALGERIA

Mnamo tarehe 22 Oktoba , 2020 Mheshimiwa Balozi Maj Gen JACOB G.Kingu amekutana na Mheshimiwa. Li Lianhe Balozi wa China nchini Algeria kwa ya Kubadilishana Uzoefu Juu ya masuala mbalimbali yanayouhusu nchi…

Read More

Balozi wa Ethiopia nchini Algeria, Mhe. Assegid Nebiat Getachew amemtembelea Balozi wa Tanzania

Mnamo tarehe 13 Oktoba, 2020 Balozi wa Ethiopia nchini Algeria, Mheshimiwa Assegid Nebiat Getachew amemtembelea Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mheshimiwa Mej Gen. Jacob G. Kingu katika Ofisi za Ubalozi wa…

Read More

Kikao cha Mhe Balozi na wanafunzi wa Tanzania mkoa wa Oran Algeria.

Mhe Balozi Maj   Gen Kingu akiwa katika kikao na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika vyuo vikuu vilivyoko Mkoa wa Oran,tarehe 11.10.2020.

Read More

Mazungumzo ya kutagaza fursa za utalii wa Tanzania

Mhe Balozi Gen Kingu akiwa katika Kikao cha Kutangaza Utalii wa Tanzania alipokutana tarehe 11.10.2020 na Bwana Mazouz, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Low Cost iliyoko Mkoa wa Oran, ambayo inayoshughulika na…

Read More

MHE.BALOZI MAJ.GEN JACOB G. KINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA NCHINI ALGERIA.

 Mkutano wa Mheshimiwa Balozi na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara nchini Algeria Elhamel Mernis na Mkurugenzi wa Hoteli ya Hocine. Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Balozi amewaeleza Viongozi hao…

Read More