News and Events Change View → Listing

KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI ULIO ANDALIWA NA UBALOZI MJINI ALGIERS

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria kwa Kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika (CAAID) ulindaa Kongamano la Wawekezaji na Wafanyabiashara Waalgeria. Kongamano hilo…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019.For those who wish to travel to…

Read More

NOTICE TO TRAVELERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1 June 2019 all plastic bags, regardless of their thickness will be prohibited from being imported,…

Read More

MHE.BALOZI OMAR YUSSUF MZEE KATIKA KIWANDA CHA KUZALISHA NGUZO ZA UMEME TAREHE 4.04.2019

Baada ya Mheshimiwa Balozi  Kufanya Mazungumzo na Bwana Reda Abeid, Mwekezaji kwenye Sekta ya Umeme, Mheshimiwa Balozi alitembelea Kiwanda cha METGAVE katika Mkoa wa Tlemcen. Kiwanda hicho cha Kisasa…

Read More

MHE. BALOZI OMAR YUSSUF MZEE AMEFANYA MAHUJIANO NA JARIDA LA UTALII LA TAUBA EVENT NCHINI ALGERIA

Katika Kuendeleza Juhudi za Kutangaza Utalii wa Tanzania nchini Algeria, Mheshimiwa Balozi Omar Yussuf Mzee amefanya Mahujiano na Jarida la Tauba Event nchini Algeria linaloshughulika na Kuhamasisha na…

Read More

MHE. BALOZI OMAR YUSSUF MZEE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA AFRIKA KWA VIJANA

Mheshimiwa Balozi Omar Yussuf Mzee akiiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Afrika Kamati Maalum  ya Vijana, Utamaduni na Michezo uliyofanyika Mjini Algiers.…

Read More

Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Algeria, Mhe. Saad Belabed. Katika mazungumzo hayo Mhe. Balozi…

Read More

Tanzania named Africa’s leading safari destination

Read full article by clicking hereMinistry of Natural Resources and Tourism (https://www.mnrt.go.tz/highlights/view/tanzania-is-rated-the-best-safari-country-of-2017-in-africa)Daily Nation…

Read More