Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mhe.Omar Yussuf Mzee

  • Mhe. Rais Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Mzee
  • Waheshimiwa Mabalozi wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma, pembeni yao ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Bw. Rogers William Sianga ( wa pili kutoka kulia) ambao pia waliapishwa pamoja na Waheshimiwa Mabalozi.