Mhe. Balozi Njalikai akutana na Rais wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini Algeria

Mhe. Balozi  Iman S. Njalikai  akizungumza  na Dr. Harkati Hatem, Rais wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Algeria katika ofisi za Ubalozi jijini Algiers.Kwa pamoja wamekubaliana…

Read More

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Salum Njalikai leo Disemba, 28, 2023 alifanya mazungumzo na Waziri wa Vijana na Michezo wa Algeria, Mhe. Abderrahamane Hammad

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Salum Njalikai leo Disemba, 28, 2023 alifanya mazungumzo na Waziri wa Vijana na Michezo wa Algeria, Mhe. Abderrahamane Hammad katika ofisi za…

Read More

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI ALITEMBELEA MAONESHO YA KUCHATAKA TAKA NA KUONGEZA THAMANI (REVADE) YALIYOFANYIKA JIJINI ALGIERS

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai, leo tarehe 29 Novemba 2023 alitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kuchakata taka na Kuongeza thamani yaliyoandaliwa na Chemba ya…

Read More