Waziri Makamba Awasili Algeria Kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri Wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Y. Makamba (Mb.), amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic utakaofanyika…

Read More

BALOZI MEJA JENERALI (Mst) JACOB GIDEON KINGU AAGANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ALGERIA

Mhe. Balozi Meja Jenerali (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf katika Ofisi za Wizara…

Read More

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA ALGERIA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Pindi H. Chana akiambatana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa, Mh. Tabia M. Maulid walipata fursa ya Kukutana na…

Read More

KONGAMANO LA UWEKEZAJI NA BIASHARA AFRIKA (AFIK 9)

Ubalozi kwa Kushirikiana na  Mwakilishi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bi. Latifa Abadalla Kigoda ulishiriki katika Kongamano la Uwekezaji na Biashara Afrika (AFIC9) lililoandaliwa na Kituo cha…

Read More

MHE. BALOZI AKUTANA NA RAIS WA KAMATI ZA OLIMPIKI BARANI AFRRIKA BW. MUSTAPHA BERRAF

Mhe. Balozi Mej. Jen. (Mst) Jacob Kingu alimtembelea Rais wa Kamati za Olimpiki Barani Afrika (ANOCA) Bw. Mustapha Berraf katika Ofisi zake jijini Algiers tarehe 16 April, 2023. Viongozi hao walizungumzia…

Read More