Mhe. Balozi  Iman S. Njalikai  akizungumza  na Dr. Harkati Hatem, Rais wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Algeria katika ofisi za Ubalozi jijini Algiers.

Kwa pamoja wamekubaliana  kuendeleza ushirikiano wa uwekezaji na biashara kati ya Algeria na Tanzania hususan katika sekta ya uzalishaji wa dawa.