News and Resources Change View → Listing

BALOZI MATINYI ATETA  NA FRATER RAZES KUHUSU UWEKEZAJI WA DAWA TANZANIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi,  amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Mauzo wa kampuni ya uzalishaji dawa za tiba ya Frater Razes ya Algeria,…

Read More

Balozi Matinyi akabidhi hati kwa Rais wa Algeria

Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare  Matinyi, amekabidhi hati za utambulisho wa kibalozi kwa Mhe. Rais Abdelmadjid Tebboune wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria katika hafla…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ALGERIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE

Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwasilisha nakala za hati za utambulisho  kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf jijini Algiers, leo tarihe  26 Mei,…

Read More

BALOZI MATINYI AWASILI ALGERIA

Balozi Mobhare Matinyi amewasili jijini Algiers, Jumanne, tarehe 19 Mei, 2026, tayari kuanza majukumu ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria.Balozi…

Read More

BALOZI NJALIKAI AAGANA NA WAZIRI ATTAF

Tarehe 05 Mei 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai alikutana kwa lengo la kumuaga Mhe.  Ahmed Attaf, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria katika ofisi za Wizara…

Read More

Ambassador Imani Salum Njalikai Highlights Unity, Development and Tanzania–Algeria Relations

Yesterday, the Embassy of the United Republic of Tanzania in Algeria hosted a celebration at the Sheraton Hotel in Algiers to commemorate the 62nd anniversary of the Union between Tanganyika and Zanzibar,…

Read More

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NISHATI NA ALGERIA

Tarehe 23 Aprili 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la umeme na gesi nchini…

Read More