News and Resources Change View → Listing

MHESHIMIWA BALOZI IMAN NJALIKAI AZUNGUMZA NA RAIS WA CREA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA UCHUMI NA TANZANIA

Tarehe 19 Aprili 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Uhuishaji Uchumi nchini Algeria (CREA), Mhe. Kamal…

Read More

MHE. BALOZI IMAN NJALIKAI AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI ALGERIA

Tarehe 14 Aprili, 2026. Mhe. Balozi Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Samuel Kaveto Mbambo, Balozi wa Namibia nchini Algeria kwa ajili ya kusalimiana (courtesy call).Pamoja na mambo mengine…

Read More

ZIARA YA MHE. KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) DKT. ASHA ROSE MIGIRO NCHINI ALGERIA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro alifanya ziara ya kikazi nchini Algeria kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 10 Aprili 2026. Ziara hiyo ililenga kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan,…

Read More

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI NA MKURUGENZI MKUU WA AFRIKA KUJADILI MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 6 WA TUME YA PAMOJA USHIRIKIANO

Tarehe 24 February 2026, Mhe. Iman Njalikai, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, alikutana na kufanya mazungumzo na, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria,…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ALGERIA AANGAZIA FURSA ZA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI NCHINI ALGERIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai ametembelea Chuo Kikuu cha Ouargla na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo Prof, Halilat Med Tahar pamoja na uongozi wa Chuo hicho…

Read More

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA MBOLEA YA SORFERT

Februari 4, 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Mbolea ya Sorfert, Bw. Maged El Tobgy makao makuu ya…

Read More