BALOZI WA TANZANIA NCHINI ALGERIA, MHE. IMAN S. NJALIKAI ALIKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA CHAMA KIKONGWE NCHINI ALGERIA CHA FRONT LIBERATION MOVEMENT (FLN) MHE. ABDELKRIM BENMBAREK
Tarehe 20 Januari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama kikongwe, chenye ushawishi na uungwaji…
Read More





