MHESHIMIWA BALOZI AZUNGUMZA NA DKT. SHARON REYES KUHUSU BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO KUTOKA TANZANIA KWA AJILI YA SOKO LA ALGERIA
Tarehe 05 Oktoba 2025, Mhe. Balozi Njalikai katika ofisi za Ubalozi jijini Algiers alikutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya "Cultivate Africa", Dkt. Sharon Reyes mtaalamu wa kilimo…
Read More






