News and Resources Change View → Listing

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI ALITEMBELEA MAONESHO YA KUCHATAKA TAKA NA KUONGEZA THAMANI (REVADE) YALIYOFANYIKA JIJINI ALGIERS

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai, leo tarehe 29 Novemba 2023 alitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kuchakata taka na Kuongeza thamani yaliyoandaliwa na Chemba ya…

Read More

MHE. BALOZI IMAN SALUM NJALIKAI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JAJI MKUU WA ZANZIBAR MHE. KHAMIS RAMADHAN ABDALLA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai leo tarehe 23 Novemba 2023 alikutana na kufanya mazungumzo na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abadalla katika ofisi za…

Read More

BALOZI IMAN SALUM NJALIKAI AKUTANA NA MEJA JENERALI IBRAHIM MICHAEL MHONA MKUU WA OPERESHENI NA MAFUNZO KUTOKA JWTZ

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Salum Njalikai alikutana na Kufanya mazungumzo na Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa JWTZ, Meja Jenerali Ibrahim Michael  Mhona katika…

Read More

MHE. BALOZI IMAN SALUM NJALIKAI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA JAJI IMAN ABOUD

Mhe. Balozi Iman S. Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika , Jaji Iman Aboud ambaye yupo ziarani kikazi nchini Algeria. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za Ubalozi…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WAWEKEZAJI WA KAMPUNI MBALI MBALI ZA SEKTA YA NISHATI KWENYE MAONESHO YA NAPEC MKOANI ORAN

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai alishiriki katika Ufunguzi wa Mkutano na Maoenosho ya Nishati ya Afrika ya Kaskazini (NAPEC) na kukutana na Wawekezaji muhimu wa…

Read More