News and Resources Change View → Listing

Kikao cha Mhe. Balozi Mteule Iman S. Njalikai na Rais Wa Kituo cha Uwekezaji na Maendeleo cha Waarabu wa Afrika

Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman S. Njalikai alifanya mazungumzo na Rais wa Kituo cha Uwekezaji na Maendeleo cha Waarabu wa Afrika (CAAID), Dkt Amine Boutalbi katika…

Read More

Mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba na Waziri wa Nishati wa Algeria Mhe. Mohamed Arkab

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Y. Makamba ambaye yupo kwenye Ziara ya Kikazi nchini Algeria amekutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Algeria, Mhe. Mohamed…

Read More

Waziri Makamba Awasili Algeria Kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri Wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Y. Makamba (Mb.), amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic utakaofanyika…

Read More

BALOZI MEJA JENERALI (Mst) JACOB GIDEON KINGU AAGANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ALGERIA

Mhe. Balozi Meja Jenerali (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf katika Ofisi za Wizara…

Read More

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA ALGERIA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Pindi H. Chana akiambatana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa, Mh. Tabia M. Maulid walipata fursa ya Kukutana na…

Read More