Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Misri nchini Algeria, Mhe. Abdellatif Ellayeh, mara baada ya kumtembelea ofisini kwake jijini Algiers mnamo tarehe 11 Juni, 2026, kwa ajili ya kujitambulisha na kuzungumzia uhusiano baina ya nchi hizi mbili na mafanikio ya ushirikiano wa Misri na Algeria.
