Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sudan nchini Algeria, Mhe. Abdelhafiz Elawad, mara baada ya kumalizika sherehe za Siku ya Taifa la Jordan, jijini Algiers, mnamo tarehe 11 Juni, 2026.