Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Algeria Bwana Imed Khanfir ambapo walizungumzia Miradi ya WFP nchini Algeria.

Mheshimiwa Balozi pia alipata nafasi ya Kufahamu Huduma zinazotolewa na WFP kwenye Kambi za Wakimbizi wa Sahara Magharibi zilizoko Mkoani Tindouf  nchini Algeria .

Algiers: tarehe 18 Januari, 2021