Mhe Balozi Gen Kingu akiwa katika Kikao cha Kutangaza Utalii wa Tanzania alipokutana tarehe 11.10.2020 na Bwana Mazouz, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Low Cost iliyoko Mkoa wa Oran, ambayo inayoshughulika na Kusafirisha Watalii wa Algeria kwenda nchini Tanzania.