Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mwakilishi Mkazi na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Algeria Bwana Eric Overvest.
Viongozi hao walizungumzia Masuala mbali mbali ya Miradi ya Maendeleo inayosimamiwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwemo Miradi ya Elimu na Uhifadhi wa Mazingira.
Algiers tarehe 12 Januari, 2021

