Mhe. Balozi Njalikai leo tarehe 8 Oct, 2024 ameungana na Mabalozi mbalimbali wa Afrika katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya AGRITECH yanayofanyika Jijini Annaba nchini Algeria.
Aidha, Mhe. alifanya vikao na wawekezaji wa sekta ya kilimo kuona uwezekano wa kwenda kuwekeza nchini Tanzania.


