Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Balozi wa Msumbiji nchini Algeria Mheshimiwa Carvalho Muaria. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Algiers na Kuhudhuri na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiaya ya SADC waliopo nchini Algeria.


