Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria Mhe. Mej Jen. (Mst) Jacob Kingu alimpokea Balozi wa Uganda nchini Algeria, Mhe.John Chrysostom Alintuma Nsambu katika Afisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Algiers leto tarehe 28 Machi, 2023. Mkutano huo ni sehemu ya Kuendeleza Ushirikiano na Nchi jirani ya Uganda pamoja Kubadilishana uzoefu kwenye Masuala mbalimbali ya Diplomasia Uchumi katika Eneo la Uwakilishi la Algeria.
