Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Nigeria nchini Algeria Mheshimiwa Mohammed Abdullahi Mabdul.
Katika Mazungumzo yao, Walizungumzia juu ya Umuhimu wa Umoja wa Afrika na Waafrika kuwa Kitu Kimoja na Sauti Moja katika Kutetea Maslahi ya Bara la Afrika.

