Mheshimiwa Balozi akiwa katika picha ya pamoja na CEO wa Groupe la Belle katika makao makuu ya La belle.
Tarehe 09 Juni 2022.

La belle ni wawekezaji katika sekta uchakataji wa Bidhaa za kilimo ( nafaka, matunda na mbogamboga).

Kupitia mkutano huo, wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika eneo la usindikaji wa nyanya.