Mhe. Balozi Maj Gen (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya SOPHAL Mkoani Oran. Kampuni ya SOPHAL ilishafika Tanzania mwezi Julai 2022 na Kukutana na Mamlaka ya TMD na MSD kwa ajili ya Kufanya Biashara na Uwekezaji kwenye eneo la Dawa za Binaadamu.


