Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Kufanya Mazungumzo na Kampuni ya Nishati ya Euroferima yenye Makao Makuu yake Mkaoni Blida nchini Algeria. katika Mazungumzo hayo, Mheshimiwa Balozi amewaeleza kwamba kwa Upande wao wa Sekta ya Nishati, wanayo fursa kubwa ya Kuwekeza nchini Tanzania. Na ni vyema pia wakafanya Ziara ya Kwenda Tanzania na Kutembelea Kituo cha Uwekezaji ambapo.