Katika Kuendelea Kuimarisha Mashirikiano na Umoja wa Afrika, Mheshimiwa Balozi ametembelea Makao Makuu ya AFRIPOL yaliyopo Mjini Algiers.
Aidha, Mheshimiwa Balozi amekutana na Mkurugenzi wa AFRIPOL Dkt. Tarek A. Sharif ambapo walizungumzia Umuhimu wa Chombo hicho kwa Bara la Afrika katika Masuala ya Usalama.
Hivyo, Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika hawanabudi Kuunga Mkono Juhudi za Chombo hicho ili Kufanikisha Malengo ya Kuundwa kwake.


