Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Jacob G. Kingu amefanya Mazungumzo na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Algeria ''Air Algeria'' Mheshimiwa Amine MESROUA.

Viongozi hao wamejadili kwa pamoja Umuhimu wa kuwa na Safari za Anga za moja kwa moja Kati ya Tanzania na Algeria kwa lengo la Kurahisha Shughuli za Kibiashara na Utalii.