Balozi wa Tanzania Nchini Algeria, Mhe. Maj. Gen. Jacob Gideon akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Abdelmadjid Tebboune. Sherehe hizo zilifanyika Katika Ikulu ya Jijini Algiers tarehe 13/09/2020.
Uwasilishwaji wa Hati ya Utambulisho
Balozi wa Tanzania Nchini Algeria, Mhe. Maj. Gen. Jacob Gideon akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Abdelmadjid Tebboune