Ziara ya Ujumbe wa TMDA nchini Algeria
Mhe. Balozi na Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka TMDA walitembelea Maabara ya Sophal ya Kuzalisha dawa za Magonjwa mbali mbali iliyopo Mkoani Oran.tarehe 23 Oktoba, 2022.
Read MoreMhe. Balozi na Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka TMDA walitembelea Maabara ya Sophal ya Kuzalisha dawa za Magonjwa mbali mbali iliyopo Mkoani Oran.tarehe 23 Oktoba, 2022.
Read MoreUbalozi ulishiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Algiers ikiwa ni sehemu ya Juhudi za Kutangaza Diplomasia ya Uchumi katika Sekta ya Utalii. Maonesho hayo yalihudhuriwa pia na Mawakala wa…
Read MoreMhe. Balozi Maj Gen (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya SOPHAL Mkoani Oran. Kampuni ya SOPHAL ilishafika Tanzania mwezi Julai 2022 na Kukutana na Mamlaka…
Read MoreMhe. Balozi Maj Gen (Mst) alitembelea Maabara ya Orion Lab ya Kuzalisha dawa za Kutibu Ugonjwa wa Kansa iliyopo Mkoani Oran. Awali Mheshimiwa Balozi alitembelea Maabara hiyo mwezi Novemba, 2021…
Read MoreMhe. Balozi Maj Gen (Mst) Jacob Gideon Kingu alifanya Ziara ya Kakazi Mkoani Oran na Kutemblea Complex ya TOSYALI. Complex hiyo ni Uwekezaji wa Kampuni ya Kituriki ambayo imejikita katika Utengenezaji wa…
Read MoreL'AMBASSADE DE LA REPUBLIQUE UNIE DE TANZANIE EN ALGERIE OFFRES D'EMPLOIS POUR UNE POSTE CONTRACTUEL:SURVEILLANTE DE BUREAU (1 poste)LES QUALIFICATIONS :-Age: de 25 ansAvoir une expérience de 5…
Read More