News and Events Change View → Listing

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TWIGA STAR NA UNDER TWENTY TANZANITE ZATUA NCHINI ALGERIA KWA AJILI YA MICHEZO YA KIRAFIKI

Ubalozi uliipokea Timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Star na ile ya Under Twenty ambazo ziliwasili Jijini Algiers tarehe 8 na tarehe 9 kwa ajili Mechi za Kirafiki. Mhe. Balozi Mej. Jen. (Mst) Jacob Kingu…

Read More

MHE. BALOZI MEJA JENERALI (Mst) JACOB KINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA RUSSIA NCHINI ALGERIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mej Jen. (Mst) Jacob Kingu alifanya Mazungumzo na Balozi wa Russia nchini Algeria, Mhe. Valerian Shuvaev katika Afisi za Ubalozi Jijini Algiers…

Read More

UBALOZI KUTAFUTA FURSA ZA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA DAWA NCHINI ALGERIA

Ubalozi umeendelea Kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa Kukutana na Kufanya Mazungumzo na Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji wa Dawa  za Binadamu ya HIKMA katika Afisi zao  Jijini Algiers, tarehe…

Read More

MHE. MEJA JENERALI (Mst) JACOB KINGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UGANDA NCHINI ALGERIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria Mhe. Mej Jen. (Mst) Jacob Kingu alimpokea   Balozi wa Uganda nchini Algeria, Mhe.John Chrysostom Alintuma Nsambu katika Afisi za Ubalozi wa…

Read More

ZIARA YA UBALOZI KATIKA MASHAMBA YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KATIKA MKOA WA MENIA

Algeria ni Mwagizaji Mkuu wa Pili wa Ngano barani Afrika baada ya Egypt. Hata hivyo, Serikali ya Algeria ina mkakati  wa Kupunguza Uagizaji wa Bidhaa hiyo na Badala yake Kuwekeza kwenye Kilimo cha Kisasa…

Read More

UBALOZI WAKUTANA NA DKT.  BENSEMMANE MDAU MUHIMU WA KILIMO NCHINI ALGERIA

Ubalozi ulifanya Mazungumzo na Dkt.  Amine Bensemmane Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Masuala ya Kilimo GRFI katika Ofisi za Ubalozi jijini Algiers. Dkt. Bensemmane  ambaye pia ni Mratibu na Msimamizi…

Read More

USHIRIKI WA UBALOZI KATIKA MAONESHO YA VINYWAJI BEVALG JIJINI ALGIERS

Ubalozi ulishiriki katika Ufunguzi wa Maonesho ya Vinywaji ya BEVALG yaliyofanyika jijini Algiers kuanzia tarehe 6 hadi 8 Machi, 2023. Maonesho hayo yalijumuisha Kampuni mbali mbali za Uzalishaji wa Vinywaji…

Read More

USHIRIKI WA UBALOZI KATIKA KONGAMANO LA AFRICA BUSINESS FORUM

Ubalozi ulishiriki katika Ufunguzi wa Kongamano la Biashara la AFRIKA BUSINESS FORUM lililofanyika tarehe 5 hadi 7 Machi, 2023. Ushiriki huo ni mpango wa Ubalozi wa Kuendeleza Kutangaza Diplomasia ya Uchumi…

Read More