News and Events Change View → Listing

KIKAO CHA MHESHMIWA BALOZI IMAN NJALIKAI NA MRATIBU WA ” AFRICA REAL ESTATE INOVATION SUMMIT”

Mheshiwa Iman Njalika Balozi wa Tanzania nchini Algeria, amekutana na kufanya Mazungumzo na Bw. Naserdine Boutera Mratibu Mkuu wa mkutanao wa ARIS (AFRICA REAL ESTATE INOVATION SUMMIT) katika ofisi za Ubalozi…

Read More

kIKAO CHA BALOZI NA MKURUGENZI MKUU WA AFRIKA

Mhe. Balozi Iman S. Njalikai  leo tarehe 3 Sept 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Afrika   Bw. Khelifi Abdelnour katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje Jijini…

Read More

Mhe. Balozi Njalikai akutana na Rais wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini Algeria

Mhe. Balozi  Iman S. Njalikai  akizungumza  na Dr. Harkati Hatem, Rais wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Algeria katika ofisi za Ubalozi jijini Algiers.Kwa pamoja wamekubaliana…

Read More

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Salum Njalikai leo Disemba, 28, 2023 alifanya mazungumzo na Waziri wa Vijana na Michezo wa Algeria, Mhe. Abderrahamane Hammad

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Salum Njalikai leo Disemba, 28, 2023 alifanya mazungumzo na Waziri wa Vijana na Michezo wa Algeria, Mhe. Abderrahamane Hammad katika ofisi za…

Read More