News and Events Change View → Listing

INSPEKTA JENERALI WA POLISI KAMANDA CAMILLUS WAMBURA AWASILI JIJINI ALGIERS

Inspekta Jenerali wa Polisi, Kamanda Camillus Wambura amewasili leo tarehe 28 Oktoba 2024, jijini Algiers, Algeria. kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa AFRIPOL unaotarajiwa kufanyika Tarehe 29¬30 Oktoba 2024.…

Read More

TANZANIA NA ALGERIA ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KWENYE ENEO LA UTUNZAJI KUMBUKUMBU NA NYARAKA MUHIMU

Tanzania na Algeria zakubaliana kuimarisha ushirikiano kwenye eneo la utunzaji kumbukumbu na nyaraka muhimu. Makubaliano hayo, yalikuwa sehemu ya Mazungumzo ya tarehe 28 Oktoba, 2024, kati ya Mhe. Balozi…

Read More

WANAFUNZI WAPYA WA TANZANIA WAWASILI NCHINI ALGERIA

Wanafunzi wapya wa Tanzania waliowasili nchini Algeria kwa ajili ya Mhula wa Masomo wa 2024\2025 wameaswa kutumia vema fursa hiyo adhimu kwa kufanya juhudi katika masomo na kuzingatia taratibu na sheria za…

Read More

ALGERIA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KWENYE KILIMO

Algeria ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha sekta ya kilimo hususan katika eneo la umwagiliaji, uzalishaji wa mbegu bora, matumizi ya teknolojia, uongezaji thamani wa mazao ya kilimo, tafiti…

Read More

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ASMIDAL JIJINI ANNABA

Katika juhudi za kuendeleza ushirikiano na Algeria katika sekta ya kilimo, Mhe. Balozi Iman S. Njalikai ametembelea kiwanda cha Serikali cha Mbolea cha ASMIDAL kilichopo Jijini Annaba. katika ziara yake hiyo,…

Read More

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI AKISHIKIRIKI KATIKA MAONESHO YA KITAMATAIFA YA KILIMO JIJINI ANNABA

Mhe. Balozi Njalikai leo tarehe 8 Oct, 2024 ameungana na Mabalozi mbalimbali wa Afrika katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya AGRITECH yanayofanyika Jijini Annaba nchini Algeria.Aidha, Mhe. alifanya vikao…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI IMAN SALUM NJALIKAI AKUTANA NA BALOZI WA AFRIKA KUSINI NCHINI ALGERIA

Mhe. Balozi Njalikai akutana na Mhe. Balozi Ndumiso NTSHINGA Balozi wa Afrika Kusini nchini Algeria kwa ajili ya kusalimiana (courtesy call) na kujadili masuala ya ushirikiano wa uwili, kikanda na kimataifa…

Read More

Ziara ya Mheshimiwa Balozi katika Chuo Kikuu cha Algiers 3

Mheshimiwa Balozi Iman Salum Njalikai,Balozi wa Tanzania nchini Algeria leo tarehe 30 Septemba, 2024 amekutana kufanya Mazungumzo na Prof. Khalid Rouaski, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Algiers 3 nchini Algeria.Kwa…

Read More