Inspekta Jenerali wa Polisi, Kamanda Camillus Wambura amewasili leo tarehe 28 Oktoba 2024, jijini Algiers, Algeria. kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa AFRIPOL unaotarajiwa kufanyika Tarehe 29¬30 Oktoba 2024. IGP Wambura alipokelewa na Mhe. Balozi Njalikai, Balozi wa Tanzania nchini Algeria sambamba na wenyeji wake.