News and Events Change View → Listing

MIRADI YA UMEME VIJIJINI YAING’ARISHA TANZANIA KIMATAIFA

*📌REA yapongezwa kwa uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia**📌Tanzania, Algeria kuimarisha ushirikiano katika miradi ya umeme* Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Imani Njalikai…

Read More

MAZUNGUMZO YA MHE. BALOZI NA NAIBU WAZIRI WA ARDHI

Tarehe 14 Julai 2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai alimpokea Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (MB),  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Houari Boumedienne…

Read More

ALGERIA NA TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UTALII

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai amewataka wadau wa utalii wa Algeria kuendelea kuongeza kasi ya kupeleka watalii nchini Tanzania ili kupata fursa ya kujionea…

Read More

UJUMBE WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) NCHINI ALGERIA

Tarehe 11 Julai 2025, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai alipokea ujumbe wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ukiongozwa na Mkurugenzi wa Bodi, Balozi Mstaafu Maj. Jen.…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI IMAN NJALIKAI NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA MBOLEA TANZANIA

Mhe. Balozi Iman Njalikai tarehe 30 Juni 2025 alifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea Tanzania  (TFC) Bw. Samuel A. Mshote ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi nchini Algeria. Kikao…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA UWEKEZAJI NA UTALII TANZANIA ALGERIA 2025

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria kwa kushirikiana na Wakala wa Ukuzaji Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) umeandaa Kongamano la biashara, uwekezaji na utalii jijini Algiers tarehe 14 Mei 2025.…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI NJALIKAI AMETOA WITO KWA NCHI ZA AFRIKA KUSHIKAMANA NA KUIMARISHA USHIRIKIANO IMARA WA KIUCHUMI KUPITIA SOKO LA AfCFTA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria umeshiriki katika Jukwaa la 11 la Afrika la Biashara na Uwekezaji (AFIC11) lililoandaliwa na Kituo cha Waarabu wa Afrika cha Uwekezaji na Maendeleo…

Read More