News and Events Change View → Listing

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI IMAN NJALIKAI NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA MBOLEA TANZANIA

Mhe. Balozi Iman Njalikai tarehe 30 Juni 2025 alifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea Tanzania  (TFC) Bw. Samuel A. Mshote ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi nchini Algeria. Kikao…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA UWEKEZAJI NA UTALII TANZANIA ALGERIA 2025

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria kwa kushirikiana na Wakala wa Ukuzaji Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) umeandaa Kongamano la biashara, uwekezaji na utalii jijini Algiers tarehe 14 Mei 2025.…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI NJALIKAI AMETOA WITO KWA NCHI ZA AFRIKA KUSHIKAMANA NA KUIMARISHA USHIRIKIANO IMARA WA KIUCHUMI KUPITIA SOKO LA AfCFTA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria umeshiriki katika Jukwaa la 11 la Afrika la Biashara na Uwekezaji (AFIC11) lililoandaliwa na Kituo cha Waarabu wa Afrika cha Uwekezaji na Maendeleo…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI ALGERIA

Tarehe 07 Mei 2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Dr. Amir Ben Ammar pamoja na Dr. Mussa Sissoko katika ofisi za Ubalozi jijini Algiers.Wadau hao wa sekta ya Afya walimueleza…

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria umeadhimisha miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili 2025 Jijini Algiers.Maadhimisho hayo yalihudhuriwa na Waziri wa Nchi, Waziri…

Read More

Mhe. Balozi Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Maj. Jen. Ibuge, Mkuu wa Chuo cha NDC

Leo tarehe 21 Aprili 2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Maj. Jen. Ibuge, Mkuu wa Chuo cha NDC katika Ofisi za Ubalozi jijini Algiers.Mhe. Balozi Maj Jen. Ibuge yupo…

Read More

ALGERIA KUSHIRIKI MAONESHO YA DITF 49 YA SABABA NCHINI TANZANIA

Leo tarehe 9 Aprili 2025, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai amefanya mazungumzo na Bw. Soufian Mwakilishi wa Taasisi ya Serikali ya Kuandaa Maonesho na Kuhamasisha…

Read More

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NIGER NCHINI ALGERIA

Tarehe 08 Aprili 2025, Mhe. Iman Njalikai, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Aminou Malam Manzo, Balozi wa Jamhuri ya Niger nchini Algeria katika…

Read More