News and Events Change View → Listing

UBALOZI WAKUTANA NA DKT.  BENSEMMANE MDAU MUHIMU WA KILIMO NCHINI ALGERIA

Ubalozi ulifanya Mazungumzo na Dkt.  Amine Bensemmane Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Masuala ya Kilimo GRFI katika Ofisi za Ubalozi jijini Algiers. Dkt. Bensemmane  ambaye pia ni Mratibu na Msimamizi…

Read More

USHIRIKI WA UBALOZI KATIKA MAONESHO YA VINYWAJI BEVALG JIJINI ALGIERS

Ubalozi ulishiriki katika Ufunguzi wa Maonesho ya Vinywaji ya BEVALG yaliyofanyika jijini Algiers kuanzia tarehe 6 hadi 8 Machi, 2023. Maonesho hayo yalijumuisha Kampuni mbali mbali za Uzalishaji wa Vinywaji…

Read More

USHIRIKI WA UBALOZI KATIKA KONGAMANO LA AFRICA BUSINESS FORUM

Ubalozi ulishiriki katika Ufunguzi wa Kongamano la Biashara la AFRIKA BUSINESS FORUM lililofanyika tarehe 5 hadi 7 Machi, 2023. Ushiriki huo ni mpango wa Ubalozi wa Kuendeleza Kutangaza Diplomasia ya Uchumi…

Read More

Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (Oran SIAHA 2023)

Ubalozi ulishiriki kwenye Maonesho ya 13 ya Kimataifa ya Utalii yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mohamed Benahmed (CCO), Jijini Oran kuanzia tarehe 22 hadi 25 Februari, 2023. Maonesho…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AFANYA MAZUNGUMZO NA CDA WA UBALOZI WA BURUNDI NCHINI ALGERIA

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alifanya Mazungumzo na Kaimu Balozi wa Burundi Bi. Nadine MUHIMPUNDU katika Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Algiers.Kupitia kikao hicho,…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI ALGERIA

Mhe. Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alifanya Mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Algeria, Bibi  Therese Gheziel katika Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Algiers. Viongozi hao…

Read More

UBALOZI UMETEMBELEA MRADI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA UZALISHAJI WA NISHATI JADIDIFU ULIOJENGWA NA KAMPUNI YA AMENHYD

 Mheshimiwa Balozi na kushoto mwake ni Mhandisi Abdelmalik kutoka Kampuni ya AMENHYD, akitembelea mradi wa Maji Taka wenye ukubwa wa ekari 22 uliopo kando ya Jiji la Algiers. Dampo hilo limegeuzwa kuwa…

Read More

UBALOZI WAKUTANA NA WAWEKEZAJI NA WAKANDARASI WA ALGERIA KATIKA MAONESHO YA UJENZI NA VIFAA YA BATIMEX MKOANI ANNABA

Ubalozi ukifanya Wasilisho la Fursa za Uwekezaji nchini Tanzania kwenye Kikao cha B2B na Wawekezaji na Wakandarasi wa Ujenzi. Pichani kulia mwa Mhe. Balozi ni Waziri wa Biashara Mstaafu wa Algeria, Mhe. Said…

Read More