News and Events Change View → Listing

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA PROF TAHER SAHROUI MKURUGENZI WA MASHIRIKIANO NA MAHUSIANO YA VYUO VIKUU KUTOKA WIZARA YA ELIMU YA JUU NA TAFITI ZA SAYANSI NCHINI ALGERIA

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Mashirikiano na  Mahusiano ya Vyuo VIKUU (Director of Cooperation and Universty Exchanges) wa Wizara ya Elimu…

Read More

BAADHI YA WANAFUNZI WA TANZANIA WALIOHITIMU KATIKA FANI ZA AFYA 2022

Wahitimu hao wa fani za Afya  (udaktari, ufamasia na udaktari wa wanyama) walifika Ubalozini kwa ajili ya Kuaga rasmi. Aidha wameushukuru Ubalozi kwa Ushirikiano wa karibu na kwa Kutatua changamoto zao…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA WAZIRI WA UTALII NA SANAA WA ALGERIA

Mhe. Balozi Mej Jen (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Utalii na Sanaa wa Algeria Mhe. Yacine Hamad katika Ofisi za Wizara ya Utalii na Sanaa Jijini Algiers. Kupitia Kikao…

Read More

UBALOZI WATEMBELEA WANAFUNZI NA WANADIASPORA WALIOPO KATIKA MKOA WA GHARDAIA

Timu ya Ubalozi iliwatembelea  Wanadiaspora na Wanafunzi wanaosomo katika Taasisi mbali katika Mkoa wa Ghardaia. Ziara hiyo ni katika Utekelezaji wa Mpango wa Ubalozi wa kuwahakiki na Kuwatambua…

Read More

ZIARA YA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA JENERALI JACOB JOHN MKUNDA

Ubalozi  umempokea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda ambaye yuko kwenye Ziara ya Kikazi nchini Algeria kwa muda wa siku tano (5) kuanzia tarehe 28 Novemba, 2022.  Katika…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA ALGERIA

Mhe. Balozi Maj Jen (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu Algeria Mhe.  Amar  Belani leo tarehe 08 Novemba, 2022…

Read More

Ziara ya Ujumbe wa TMDA nchini Algeria

Mhe. Balozi na Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka TMDA walitembelea Maabara ya Sophal ya Kuzalisha dawa za Magonjwa mbali mbali iliyopo Mkoani Oran.tarehe 23 Oktoba, 2022.

Read More

MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI ALGIERS 29 SEPTEMBA 2022

Ubalozi ulishiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Algiers ikiwa ni sehemu ya Juhudi za Kutangaza Diplomasia ya Uchumi katika Sekta ya Utalii. Maonesho hayo yalihudhuriwa pia na Mawakala wa…

Read More